Hellow Diva ,
Habari yako, mimi ni mzima wa afya kwani kadri ya mapenzi ya Mungu nahema pasi na shinikizo lolote.
Kwanza pole kwa majukumu na kazi nyingi za kuhakikisha gurudumu la maisha linasonga.
Muhimu ya yote ni kukueleza malengo ya arafa hii, mimi ni Finland Bernard, moja kati ya fans wako na wa ala za roho, tatizo langu limo hasa katika suala zima la mapenzi, kuna mrembo mmoja aitwaye Rahel ambaye ukweli nampenda sana na nilishaongea naye na kwa kiasi kikubwa ktk maongezi yetu naweza kusema kama tulikubaliana kuanzisha uhusiano, na toka tukubaliane yapata miezi mitatu sasa, tulishaongea mambo mengi na kukubaliana, ila bada ya mimi kuwapo chuoni siku moja alimtuma rafiki yangu anieleze kuwa kila mtu ajifanyie mambo yake na hataki kumpotezea mtu muda, sikuamini hivyo nikaamua kumtafuta mwenyewe, ukweli majibu yake yalikuwa hayo hayo, nikataka kujua sababu na akadai hakuna, ila kabla hatujakubaliana kuwa wapenzi tatizo lilikuwa utofauti wa dini, tulijadili na kuonesha kupatikana kwa ufumbuzi, hivyo nikashindwa kujua shida iko wapi.
Hali hii imeniumiza sana kwani nampenda sana, na imekuwa ikinikosesha raha na wakati mwingine hadi kupoteza umakini niwapo darasani.
Maajabu ni kwamba hadi leo hii tunawasiliana vizuri na ukweli mimi toka aniambie basi sijawahi kumuuliza tena kwani naona endapo atanipa jibu hilohilo ndo kabisa nitakosa furaha na amani.
Hivyo naomba kama kuna uwezekano umpigie simu na umweleze kuwa nampenda sana, sina malengo mabaya, malengo yangu ni siku moja kufikia darajia ya juu ya mahusiano (ndoa) mwambie aamini kuwa nampenda na aniamini pia, maisha yangu nikimkosa sitakuwa na amaro moyoni kwani yeye ndiye alfa na omega katika mapenzi yangu, sijawahi na sitampenda msichana mwingine zaidi yake.
Plz naomba unisaidi, naamini kupitia wewe, nitaipata amani ya roho, nitakuwa na furaha, na hatimaye hata masomo yangu yataenda vizuri, I do believe in you and as your a Diva you'll bring back my real happiness.
Msichana mwenyewe anaitwa Rahel Mwingo, No (0712174646), upatikanaji wake huwa muda wajioni au usiku kwani mchana huwa darasani, labda kwa weekend.
Finland Bernard No(0656075959) UDOM.

No comments:
Post a Comment